
KOMBE LA DUNIA: ARGENTINA YAVUKA KUINGIA RAUNDI YA PILI, MEXICO NA SAUDIA ARABIA NJE
Doha, Qatar — Ilikuwa na Shangwe nderemo na vifijo baada ya timu ya Argentina kupata ushindi huo muhimu katika eneo la Funfest kulikojaa watazamaji wengi kushuhudia mchezo huo kati kati mwa jiji la Qatar. Lionel Messi alikosa penalti iliyookolewa na kipa wa Poland Wojciech Tomasz Szczęsny anayecheza katika klabu ya ligi ya Serie A ya…