
TIMU ZILIZOTOA WACHEZAJI WENGI KOMBE LA DUNIA
KUTOKANA na Kombe la Dunia la FIFA la 2022 linalofanyika Qatar kuanza karibia majira ya baridi, msimu huu umekuwa wa kitofauti ambapo ligi mbalimbali duniani zimesimama kupisha michuano hii mikubwa ya kimataifa. Miaka ya nyuma, Kombe la Dunia limekuwa likichezwa punde tu ligi nyingi duniani zinapomalizika. Msimu huu hali imekuwa tofauti, ligi mbalimbali zilichezwa na…