
INONGA, ZIMBWE,KAPOMBE WAPEWA ZIGO ZITO SIMBA
INONGA, Zimbwe, Kapombe wapewa zigo zito Simba
INONGA, Zimbwe, Kapombe wapewa zigo zito Simba
GWIJI wa soka wa England na beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdind amekiri kuwa nahodha wa Argentina, Lionel Messi alikuwa katika kiwango bora juzi Jumatano kwenye mchezo wa Kombe la Dunia. Jumatano timu ya taifa ya Argentina ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Poland katika mchezo wa Kombe la Dunia na kufuzu hatua ya…
Kocha wa klabu ya Young Africans SC, Nasreddine Nabi amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba wa mchezo wa kipigo cha 2-1 cha klabu hiyo dhidi ya Ihefu FC. Nabi aliendelea kufanya kitendo hicho hata baada ya kuonywa…
Mchezaji Simba SC, Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4:25 asubuhi ya siku ya mchezo wa sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City kwa kile alichoeleza alitaka kukagua kiwanja. Licha ya walinzi wa uwanja huo kumzuia Gadiel (ambaye…
VIJANA wa Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongalakwa sasa wapo kwenye maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara zinazofuata ndani ya Desemba,2022. Chini ya Ongala kwenye mechi 7 ambazo amekiongoza kikosi hicho hajapoteza mchezo akiwa amekusanya clean sheet nne bila kuambulia sare. Kituo kinachofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania, Desemba 5, Uwanja wa…
MWINYI Zahera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na uongozi wa Polisi Tanzania umebainisha kuwa umefikia hatua hiyo baada ya kuwa na mazungumzo ya muda mrefu na kocha huyo. Msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, Polisi Tanzania haijawa kwenye mwendo mzuri ambapo mchezo wake…
MWAMBA Hakim Ziyech nyota wa timu ya taifa ya Morocco alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wakati timu hiyo ikiibamiza mabao 2-1 timu ya taifa ya Canada. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Thumama mbele ya mashabiki 43,102 Canada walifungashiwa virago mazima wakigotea nafasi ya nne. Bao ambalo walilipata ilikuwa ni kupitia kwa nyota Nayef…
KUTOKANA na timu ya Japan kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Hispania, mchambuzi wa masuala ya michezo ameomba Shirikisho la Soka Duniani, FIFA kufanya uchunguzi kuhusu saka la mpira wa pasi ya mwisho ulioleta bao la ushindi. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Khalifa wakati ubao ukisoma Japan 2-1 Hispania…
Kazi kwisha, Inonga ashusha mashine mpya Simba, mastaa Yanga waapa kupeleka maafa ndani ya Championi Ijumaa
JANA droo ya raundi ya Pili ya Kombe la Azam Sports Federation Cup ilichezwa ambapo mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga waliwatambua wapinzani wao. Mechi hizo zinatarajiwa kuanza kuchezwa Disemba 9-11, 2022 ambapo Yanga itamenyana na Kurugenzi FC kwa upade wa watani zao wa jadi Simba wao watamenyana na Eagle. Kwa upande wa Azam FC wao…
Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi akitangaza matokeo ya mtihani wa elimu ya shule za msingi kwa mwaka 2022, jijini Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya…
BARAZA la Mitihani la Taifa Tanzania (NECTA), leo Alhamisi, Desemba 1, 2022 limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2021 (Matokeo ya Darasa la Saba mwaka 2022) Kutazama Matokeo Darasa la Saba 2021 <<Bofya Hapa>>
MWANDISHI mkongwe kwenye masuala ya uandhishi wa Habari za Michezo Bongo, Saleh Jembe ameweka wazi maeneo ambayo wanapaswa kuboresha pamoja na namna ligi ilivyo kwa msimu wa 2022/23
Doha, Qatar — Ilikuwa na Shangwe nderemo na vifijo baada ya timu ya Argentina kupata ushindi huo muhimu katika eneo la Funfest kulikojaa watazamaji wengi kushuhudia mchezo huo kati kati mwa jiji la Qatar. Lionel Messi alikosa penalti iliyookolewa na kipa wa Poland Wojciech Tomasz Szczęsny anayecheza katika klabu ya ligi ya Serie A ya…
LICHA ya timu ya taifa ya Tunisia kutoka Afrika kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ufaransa kwenye mchezo wa makundi Kombe la Dunia, Qatar 2022 safari yao imegota ukingoni. Mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa, Ufaransa walianzisha wachezaji wake wengi nyota benchi kwa kuwa inaonekana kuwa mbinu ya benchi la ufundi ilikuwa ni kuwapumzisha…