
KETE ZA MSIMBAZI KIMATAIFA ZIPO HIVI
WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wamedondokea kundi C. Droo ilichezeshwa nchini Misri Desemba 12,2022 ambapo kila mmoja amejua mpinzani wake atakuwa ni nani. Katika makundi hayo Simba ipo pamoja na timu za Raja Casablanca, Horoya na Vipers ya kutoka Uganda. Ratiba ya Simba kimataifa inatarajiwa kuwa namna hii:-Feb…