
KIUNGO WA KAZI MKUDE KUIKOSA NAMUNGO KESHO
KIUNGO Jonas Mkude wa Simba kesha anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Mkude ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Juma Mgunda anatarajiwa kukosekana kutokana na kutokuwa fiti kiafya. Simba imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu kesho itakuwa na kazi ya kusaka…