
SHABIKI WA SIMBA ASHINDA M 11 NA 10BET
SHABIKI wa Klabu ya Simba na Liverpool ya England Richard Mkumbo ameshinda Sh11 milioni kupitia jackpot ya katikati ya wiki ya kampuni ya 10 bet Tanzania. Mkumbo ambaye ni mkazi wa Singida ameshinda kiasi hicho cha fedha baada ya kubashiri kwa usahihi mechi 10 za ligi mbalimbali duniani kwa sh 500 tu. Ameweka kibindoni Sh11…