

MOTO WA PHIRI KUWAPITIA COASTAL, KIUNGO WA KAZI ANAKUJA YANGA
MOTO wa Phiri kuwapitia Coastal Union, kiungo wa kazi anatua Yanga, ndani ya Championi Jumamosi

NYOTA HAWA SIMBA KUPIGWA PANGA
INAELEZWA kuwa miongoni mwa nyota ambao wataachwa ndani ya kikosi cha Simba hivi karibuni ni pamoja na beki wa kazi Mohamed Ouattara. Huyo nibeki wa kati wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wanatajwa kuwa kwenye mpango wa kuondolewa kikosini hapo kutokana na kushindwa kuonyesha makali yake. Mbali na beki huyo ambaye alikuwani chaguo la…

GHANA HAWANA BAHATI NA PENALTI KOMBE LA DUNIA
TIMU ya taifa ya Ghana kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1966 wakati rekodi zinatajwa kuanza kukusanywa inakuwa timu ya kwanza kukosa penalti mara mbili kwa timu moja. Ilikuwa ni mwaka 2010 na 2022 mbele ya timu ya taifa ya Uruguay jambo ambalo linawasumbua kwa kweli Waafrika hawa. Wakati wakifungwa mabao 2-0 dhidi ya Uruguay…

UTAMU WA KOMBE LA DUNIA HATUA YA 16 BORA KITAWAKA, PATA MACHAGUO SPESHO
Ule utamu halisi wa michuano ya kombe la dunia sasa utaupata hatua ya mtoano ya timu 16 bora, ile miamba iliofuzu kutoka kwenye makundi itakutana hatua hii ambayo ukipigwa mechi moja unaaga michuano. Mchongo ni Meridianbet pekee na machaguo spesho ukibetia chama lako. Jumamosi Desemba 03 2022 Uholanzi akiyefuzu kwa jumla ya alama 07, alizozipata…

INONGA, ZIMBWE,KAPOMBE WAPEWA ZIGO ZITO SIMBA
INONGA, Zimbwe, Kapombe wapewa zigo zito Simba

MESSI ALIKIWASHA LICHA YA KUKOSA PENALTI
GWIJI wa soka wa England na beki wa zamani wa Manchester United, Rio Ferdind amekiri kuwa nahodha wa Argentina, Lionel Messi alikuwa katika kiwango bora juzi Jumatano kwenye mchezo wa Kombe la Dunia. Jumatano timu ya taifa ya Argentina ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Poland katika mchezo wa Kombe la Dunia na kufuzu hatua ya…

KOCHA WA YANGA AFUNGIWA MECHI TATU KISA MANENO
Kocha wa klabu ya Young Africans SC, Nasreddine Nabi amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kuwashambulia kwa maneno mwamuzi wa kati na mwamuzi wa akiba wa mchezo wa kipigo cha 2-1 cha klabu hiyo dhidi ya Ihefu FC. Nabi aliendelea kufanya kitendo hicho hata baada ya kuonywa…

GADIEL MICHAEL AFUNGIWA MECHI TATU KISA KIPO HAPA
Mchezaji Simba SC, Gadiel Michael amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) na TPLB kwa kosa la kulazimisha kuingia uwanjani saa 4:25 asubuhi ya siku ya mchezo wa sare ya 1-1 dhidi ya Mbeya City kwa kile alichoeleza alitaka kukagua kiwanja. Licha ya walinzi wa uwanja huo kumzuia Gadiel (ambaye…

AZAM FC HESABU KWA POLISI TANZANIA
VIJANA wa Azam FC chini ya Kocha Mkuu, Kali Ongalakwa sasa wapo kwenye maandalizi ya mechi za Ligi Kuu Bara zinazofuata ndani ya Desemba,2022. Chini ya Ongala kwenye mechi 7 ambazo amekiongoza kikosi hicho hajapoteza mchezo akiwa amekusanya clean sheet nne bila kuambulia sare. Kituo kinachofuata ni dhidi ya Polisi Tanzania, Desemba 5, Uwanja wa…

POLISI TANZANIA YAMTAMBULISHA KOCHA WA YANGA
MWINYI Zahera aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na uongozi wa Polisi Tanzania umebainisha kuwa umefikia hatua hiyo baada ya kuwa na mazungumzo ya muda mrefu na kocha huyo. Msimu huu ndani ya Ligi Kuu Bara, Polisi Tanzania haijawa kwenye mwendo mzuri ambapo mchezo wake…

MOROCCO WAPETA, UBELGIJI MAJANGA
MWAMBA Hakim Ziyech nyota wa timu ya taifa ya Morocco alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo wakati timu hiyo ikiibamiza mabao 2-1 timu ya taifa ya Canada. Katika mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Al Thumama mbele ya mashabiki 43,102 Canada walifungashiwa virago mazima wakigotea nafasi ya nne. Bao ambalo walilipata ilikuwa ni kupitia kwa nyota Nayef…


WAJAPAN WATUSUA KOMBE LA DUNIA BAO LAO SASA GUMZO
KUTOKANA na timu ya Japan kupata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya timu ya taifa ya Hispania, mchambuzi wa masuala ya michezo ameomba Shirikisho la Soka Duniani, FIFA kufanya uchunguzi kuhusu saka la mpira wa pasi ya mwisho ulioleta bao la ushindi. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Khalifa wakati ubao ukisoma Japan 2-1 Hispania…

INONGA ASHUSHA MASHINE MPYA SIMBA,MASTAA YANGA WAAPA
Kazi kwisha, Inonga ashusha mashine mpya Simba, mastaa Yanga waapa kupeleka maafa ndani ya Championi Ijumaa

HIZI HAPA TIMU ZITAKAZOMENYANA HATUA YA RAUNDI YA PILI
JANA droo ya raundi ya Pili ya Kombe la Azam Sports Federation Cup ilichezwa ambapo mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga waliwatambua wapinzani wao. Mechi hizo zinatarajiwa kuanza kuchezwa Disemba 9-11, 2022 ambapo Yanga itamenyana na Kurugenzi FC kwa upade wa watani zao wa jadi Simba wao watamenyana na Eagle. Kwa upande wa Azam FC wao…

NECTA YAZIFUNGIA SHULE 24 UDANGANYIFU MTIHANI LA SABA
Kaimu Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani (NECTA), Athumani Amasi akitangaza matokeo ya mtihani wa elimu ya shule za msingi kwa mwaka 2022, jijini Dar es Salaam. Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Desemba 1, 2022 limevifungia vituo vya mitihani 24 sawa na asilimia 0.13 ya vituo vyote 17,935 vilivyofanya mtihani ambavyo vimethibitika kupanga na kufanya…