
UMAFIA MZITO, PHIRI, BOCCO WAACHIWA MSALA GEITA GOLD
UMAFIA mzito, Phiri, Bocco waachiwa msala Geita Gold ndani ya Championi Jumamosi
UMAFIA mzito, Phiri, Bocco waachiwa msala Geita Gold ndani ya Championi Jumamosi
TIMU ya Taifa ya Morocco leo Jumamosi inatarajiwa kumenyana na Timu ya Taifa ya Croatia kwenye mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Kombe la Dunia Qatar 2022. Safari ya Croatia yenye Luka Modric kuwania taji la Kombe la Dunia iligotea mbele ya Timu ya Taifa ya Argentina yenye Lionel Messi hatua ya nusu fainali baada…
MENEJA wa Habari na Mawasiliano wa Simba, Ahmed Ally amefichua ni kweli kuna mipango inafanyika kumhusu Cesar Lobi Manzoki raia wa DR Congo, lakini akaweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna lolote kati yao na Bobosi Byaluhanga raia wa Uganda. Manzoki na Bobosi wamekuwa kwenye rada za Simba tangu kipindi cha usajili wa dirisha kubwa ambapo…
KOCHA Mkuu wa Yanga Mtunisia, Nasreddine Nabi amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kupangwa na US Monastir FC ya nchini Tunisia katika kundi moja hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga imepangwa pamoja katika Kundi D, zikiwa na timu za Union Sportive Monastery ya nchini Tunisia, TP Mazembe ya DR Congo na Real…
Ni kijana wa kitanzania ambaye ni mzaliwa na mkazi wa Handeni Tanga Didas Shauri Yeremia maarufu kwa jina la Viktoria, alishindwa kujizuia furaha yake aliyokuwa nayo baada ya kufika Makao Makuu ya Meridianbet. Mfalme wa kubeti kwa kitochi, ambaye pia ni mshindi wa promosheni kubwa ya SHINDA BAJAJI, iliyokuwa ikichezeshwa kwa muda na hatimaye…
SHABIKI wa Simba ameweka wazi kuwa kwa namna makundi yalivyopangwa, Yanga wanakazi kubwa kwa kuwa ni kundi gumu wao wanaichukulia katika hali ya kawaida
CEDRIC Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema kuwa mzunguko wa pili watakuwa tofauti kwenye upande wa kasi ya ufungaji wa mabao pamoja na ulinzi. Timu hiyo imekamilisha mzunguko wa kwanza ikiwa imepoteza mchezo mmoja kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Ihefu na inaongoza ligi ikiwa na pointi 38. Kaze amesema kuwa kukamilisha mzunguko wakiwa wanaongoza…
KIKOSI cha Simba kina kazi ya kusaka ushindi Desemba 18,2022 Uwanja wa CCM Kirumba mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Geita Gold. Mchezo huo ni wa kwanza kwa mzunguko wa pili kwa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Mapema leo Desemba 16 kikosi hicho kimewasili Mwanza kwa ajili ya maandalizi ya mwisho…
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga amesema moja ya sababu iliyowafanya wasitumie wachezaji wote kwenye mchezo wao dhidi ya Kurugenzi FC ni kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania. Yanga ambao ni mabingwa watetezi kwenye mchezo wa raundi ya Pili Kombe la Shirikisho waliibuka na ushindi wa mabao 8-0 huku…
CLATOUS Chama kiungo wa Simba amewafunika viungo wote ndani ya timu tatu zilizo ndani ya tatu bora kwenye kutoa pasi nyingi za mabao kwenye mchezo mmoja wa Kombe la Shirikisho. Vigogo Yanga, Azam hizi kweye ligi zinapambana kujenga utawala wao ambapo kinara wa pasi za mwisho ni Clatous Chama mwenye pasi 8 na mabao mawili…
CHAMA la Simba CAF hili hapa, Nabi acharuka, atembeza mkwara kambini Yanga ndani ya Championi Ijumaa
TAYARI makundi ya michuano ya Ligi ya Mabingwa na Kombe la Shirikisho Afrika yamewekwa hadharani huku wawakilishi wetu Simba na Yanga wakiwafahamu wapinzani wao ambao watachuana nao kuisaka hatua ya robo fainali ya mchuano hiyo. Simba wamepangwa na timu za Horoya, Raja Casablanca na Vipers huku Yanga wakiwa kundi moja na miamba Real Bamako, TP…
BAADA ya kuiongoza timu ya Taifa ya Ureno kwenye Kombe la Dunia 2022 Qatar na kutolewa katika hatua ya robo fainali na Timu ya Taifa ya Morocco, Fernando Santos aliyekuwa kocha mkuu wa timu hiyo amesepa. Baada ya kocha huyo kubwaga manyanga jina la kocha wa Roma, Jose Mourinho ni miongoni mwa jina linalotajwa kwa…
KALI Ongala, Kaimu Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wamejiandaa vizuri kwa ajili ya mchezo wa leo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar. Azam FC inaanza leo mzunguko wa pili baada ya kufunga mzunguko wa kwanza na rekodi ya kushinda mechi 8 mfululizo chini ya Ongala. Kwenye msako wa pointi 24, Ongala…
BAADA ya kuwaaga mabosi wake Mtibwa Sugar beki wa kazi Nickson Kibabage anatajwa kuwa kwenye rada za kuibukia ndani ya Singida Big Stars. Nyota huyo aliwaaga wachezaji na viongozi wake rasmi Desemba 13 kwa kueleza kuwa anashukuru kwa muda wote ambao alikuwa ndani ya timu hiyo. Pia alikuwa anavaa kitambaa cha unahodha jambo ambalo liliwafanya…
ISHU ya Manzoki kutua Simba ipo hivi, mambo matatu yatajwa
SIMBA SC yapewa winga wa Ubelgiji, Yanga SC yaitisha TP Mazembe ndani ya Spoti Xtra Alhamisi