
HAYA HAPA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRRIKA
MAKUNDI haya hapa ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa Tanzania inawakilishwa na Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda:- Kundi A A.Petroleos ya Angola JS Kabylie ya Algeria AS Vita Club ya DR Congo Wydad Casablanca ya Morocco Kundi B Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini Al Hilal ya Sudan AS Vita Club…