
BOSI SIMBA AMKATAA BOBOSI KISA YANGA
MENEJA wa Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally amefunguka na kusema kuwa katika dirisha hili dogo la usajili hawana mpango wa kumsajili aliyekua kiungo wa Klabu ya Vipers, Bobosi Byaruhanga. Akizungumza na Spoti Xtra, Ally alifunguka: ” Tunatarajia kuongea nguvu katika eneo la kiungo mkabaji ambaye atatusaidia kutimiza malengo yetu msimu huu. “Hatuwezi kumsajili Bobosi…