
KIBWANA ALIKUWA NA NIA YA KUIFUNGA SINGIDA BIG STARS
KIBWANA Shomari beki wa Yanga ameweka wazi kuwa alikuwa na nia ya kufunga jambo ambalo lilitokea baada ya dakika 90 kumeguka Uwanja wa Mkapa. Novemba 17,2022 Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-1 Singida Big Stars na kuwafanya wasepe na pointi tatu mazima. Watupiaji walikuwa ni wawili ambapo Fiston Mayele alitupia mabao matatu na kusepa…