
SIMBA 0-1 AZAM FC
NI bao la mapema zaidi ndani ya Ligi Kuu Bara kupata kutunguliwa kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula na mtupiaji akiwa ni mshikaji wake anayempa mateso siku zote. Anaitwa Prince Dube hakuhitaji dakika mbili zaidi ya ile ya kwanza kupachika bao la uongozi dhidi ya Simba kwenye mchezo unaochezwa Uwanja wa Mkapa. Moja ya…