
MSAFARA WA YANGA UTAKAOWAFUATA WAPINZANI WAO CAF
MSAFARA wa Yanga utakaowafuata wapinzani wao CAF
MSAFARA wa Yanga utakaowafuata wapinzani wao CAF
FEBRUARI 4,2023 itabaki kwenye kumbukumbu za mastaa wa Senegal kutokana na kukutana na kisiki kizito kwenye mchezo wa fainali ya taji la Kombe la Mataifa Afrika kwa Wachezaji wa Ndani, (CHAN). Kwenye fainali hiyo dhidi ya Algeria mashabiki walikuwa wanawazomea wachezaji wa Senegal mwanzo mwisho lakini haikuwa bahati kwao. Dakika zote 120 ziligota kwa timu…
MZAWA Dickosn Job anayekipiga ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi yake matata kwa kuwa mzawa pekee ambaye amefunga kwa timu za Kariakoo Februari ndani ya Uwanja wa Mkapa. Mechi za ufunguzi wa Februari, Simba na Yanga zote zimecheza Uwanja wa Mkapa na kusepa na ushindi ilianza Simba Februari 3 ubao uliposoma Simba 3-1 Singida…
MASTAA watatu wazua hofu Simba, Waarabu waibeba Yanga CAF ndani ya Spoti Xtra Jumanne
Kuwa Mshindi na Titan Roulette Leo nataka nikupe chimbo moja la kucheza na kushinda kwa urahisi, ni pale Meridianbet kasino ya mtandaoni kuna sloti moja inaitwa Titan Roulette ni bonge moja la mchezo, tena linakupa nafasi ya kushinda mpaka mara 36 ya dau lako uliloweka. Mchezo huu wa Titan Roulette ni sloti bomba yenye miondoko…
KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ilitangaza ratiba ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) maarufu kama FA. Simba ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya African Sports ya Tanga, Machi 2, Uwanja wa Mkapa, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons Machi 3 Uwanja wa Mkapa. Geita…
FISTON Mayele ni mshambuliaji ambaye sio mwepesi kukata tamaa akiwa uwanjani, akikutana na makipa wenye mbwembwe huwa anawatazama kisha akishagundua tabia yao hapo anaongeza presha kwenye namna ya uokoaji na kutoa pasi. Amekuwa bora kwa misimu miwili mfululizo na kwenye mechi zote ambazo amecheza hajui ladha ya kuonyeshwa kadi ya njano ikiwa inamaanisha ana nidhamu…
MZUNGUKO wa pili huwa unakuwa na mambo mengi jambo ambalo huwafanya wachezaji wengi kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi. Ukweli ni kwamba mechi za wakati huu ni lala salama kwa kuwa kitakachofuata ni maamuzi ya nini kitatokea kwa kile ambacho kimepandwa. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Mashabiki na…
FEBRUARI 6,2023 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Ni Polisi Tanzania watakuwa Uwanja wa Ushirika Moshi wakimenyana na Kagera Sugar ndani ya dakika 90. Polisi Tanzania imekusanya pointi 15 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 huku Kagera Sugar wakiwa wamekusanya pointi 25 kibindoni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na…
Saleh Ally, Rabat UTAMADUNI wa ushangiliaji katika soka uko tofauti karibu kila ukanda, na unaweza kutofautiana kwa bara moja zaidi ya sehemu nne au tano. Mfano angalia ushangiliaji wa soka la Tanzania, una tofauti kubwa sana na ushangiliaji wa soka la Kaskazini mwa Afrika katika nchi kama Misri au Morocco. Sifa kubwa ya ushangiliaji hapa…
JOB na Aziz KI walimaliza kazi Uwanja wa Mkapa namna hii
NABI awakwepa Waarabu Bongo, Saido, Chama wampa jeuri Robertinho CAF ndani ya Championi Jumatatu.
MTOKO wa kifamilia kwa Simba ikiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal wametoshana nguvu Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba 1-1 Al Hilal ambapo dakika 45 za mwanzo zilikuwa mali ya Al Hilal kisha Simba wakafanya kazi kubwa kipindi cha pili. Bao la Al Hilal limefungwa kwa…
NA SALEH ALLY, AGADIR KAMA Morocco ingepata nafasi ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2010, Uwanja wa Adrar ulipangwa kutumika kwenye moja ya michezo muhimu ya mtoano ya hatua ya robo fainali. Bahati mbaya kwa Morocco, nafasi hiyo ikaenda kwa Afrika Kusini na baada ya hapo, wakaamua kuendeleza taratibu ujenzi wa uwanja huo hadi ulipokamilika…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwenye mchezo wao dhidi ya Namungo hawakucheza vizuri lakini walipata matokeo mazuri kutokana na kuwapa muda wachezaji wengine ambao walikuwa wanasumbuliwa na majeruhi
EVERTON yaivuta shati Arsenal ndani ya Ligi Kuu England baada ya kuwatungua kwenye mchezo wao walipokutana. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Goodison Park ulisoma Everton 1-0 Arsenal ambao ni vinara wa ligi. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo huo lilipachikwa kimiani na James Tarkowski dakika ya 60. Huo ulikuwa ni ushindi wa…