
YANGA HAWANA JAMBO DOGO WAANZA MAZOEZI
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga za kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika, Yanga hawana jambo dogo baada ya kuanza mazoezi kwa ajili ya mchezo huo. Msafara wa wachezaji 27 ulikwea pipa Februari 7 kwa ajili ya kuanza safari kuelekea Tunisia wakipitia Dubai ambapo kwenye msafara wao walikuwa wameongozana na madaktari wao pia. Madaktari wa Yanga…