
NAFASI ZA DHAHABU ZITUMIKE KWA UMAKINI KIMATAIFA
IMEKUWA ni mwanzo mbaya kwa wawakilishi wa Tanzania kwenye anga za kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo mchezo wa kwanza imepoteza dhidi ya Horoya. Simba ambao wapo kundi C walikuwa wana kazi ugenini dhidi ya Horoya ambao nao walikuwa wanahitaji matokeo na tumeona namna ilivyokuwa hasa kwenye matumizi ya nafasi. Katika anga la kimataifa…