
HOROYA 1-0 SIMBA CAF KIMATAIFA
DAKIKA 45 za mwanzo zimemeguka kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi Horoya 1-0 Simba bao ambalo limepachikwa ndani ya dakika 30 za kipindi cha mwanzo. Ni Pape Nd’iaye mwamba mmoja kaenda hewani akiwa huru na kumtungua kipa Aishi Manula. Kazi ni nzito kwa Simba kwa kuwa hakuna shambulizi kali ambalo wamelifanya…