
MSHINDI WA TZS 20M MERIDIANBET AELEZA MBINU ALIZOTUMIA
Mfalme mpya wa kubeti kutoka Meridianbet amepatikana. Mfalme huyo anayetokea mkoani Mbeya alijipatia kitita cha Milioni Ishirini na laki moja, elfu nne na mia mbili tu. (20,104,200/=). Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet. Mshindi huyo ambaye alibeti na Meridianbet na kuweka dau la shilingi 5,000/= (elfu tano tu) na kuweka mechi 15 tu, ambazo alichanganya…