TANO BORA VITA NI KALI KWELI

VITA ndani ya tano bora ni kali msimu wa 2023/24 kwa kila timu kupambania pointi tatu ndani ya dakika 90 kufikia malengo yao. Ikumbukwe kwamba Mei 10 2024 vumbi kwenye ligi iliendelea huku Coastal Unio wakionyesha ubabe mbele ya wakali kutoka Singida, Singida Fountain Gate ambao kwa sasa makazi yao yapo Mwanza. Baada ya dakika…

Read More

SIMBA YAWAFUATA RAJA CASABLANCA

Kikosi cha Simba SC, kimeanza safari leo Machi 28 kuelekea nchini Morocco kuifuata Raja Casablanca kwenye mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa usiku wa kuamkia Aprili Mosi 2023 nchini Morocco. Msafara ambao unaondoka leo kupitia Qatar una jumla ya wachezaji 13 ikiwa ni pamoja na…

Read More

YANGA WAPINDUA MEZA MBELE YA POLISI TANZANIA

 MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamefungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Polisi Tanzania kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid,Arusha. Kwenye mchezo huo ambao ulikuwa ni wa kasi mwanzomwisho, mabao yalifungwa na Salum Kipemba dk ya 34 kwa Polisi Tanzania yale ya Yanga yalifungwa…

Read More

FEISAL SALUM WA AZAM FC AMPOTEZA MAXI WA YANGA

NI Feisal Salum nyota wa Azam FC amempoteza kiungo wa kazi ndani ya Yanga Maxi Nzengeli kwenye kuwania tuzo ya mchezaji bora wa Novemba. Fei ameibuka kuwa mchezaji bora wa mwezi Novemba akiwapoteza Maxi Nzengeli wa Yanga na Kipre Jr. wa Azam FC ambao aliingia nao kwenye fainali. Wakati Feisal aking’ara katika mwezi huo, kocha…

Read More

YANGA 0-0 GALLANTS MARUMO

HATUA ya nusu fainali ya kwanza Uwanja wa Mkapa, ubao unasoma Yanga 0-0 Marumo Gallants. Dakika 45 za nguvu kwa Yanga ambao wanapambania kutinga hatua ya nusu fainali. Kwenye upande wa viungo na ushambuliaji kazi kubwa inafanywa na Aziz KI, Tuisila Kisinda ambaye amekosa kwa kiasi fulani utulivu kutengeneza mashambulizi kwa Fiston Mayele. Mayele anaonyesha…

Read More

BETPAWA YADHAMINI TIMU ZA TAIFA KIKAPU KWA MABILIONI

 TIMU za taifa za mpira wa kikapu za wanaume (Silverbacks) na wanawake (Gazelles) zimepata udhamini mnono kutoka kampuni ya michezo ya kubashiri ya betPawa wenye thamani ya sh2.6 bilioni za Uganda, sawa n ash Bilioni 1.8 za Kitanzania. Mkataba wa udhamini huo wa miaka mitatu ulisainiwa jana kati ya maofisa wa Shirikisho la Mpira wa…

Read More

MKWARA MZITO SIMBA IMETOA KIMATAIFA

HUKU droo ya mashindano maalum ya African Super League ikitarajiwa kupangwa rasmi leo Jumamosi, wawakilishi wa Tanzania katika mashindano hayo, Simba wamechimba mkwara mzito kwa kuweka wazi wamesuka mkakati mzito wa kuhakikisha wanapambania kushinda ubingwa wa mashindano hayo. Kuendana na waratibu wa mashindano hayo yanayotarajiwa kupigwa mwezi Oktoba, imethibitishwa yanatarajiwa kushirikisha timu za Petro de…

Read More

SIMBA HAO NDANI YA UTURUKI

MSAFARA wa Simba unaonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira leo Julai 11 umeanza safari kueleka Uturuki. Ni maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24 unaotarajiwa kuanza Agosti ambapo kwa msimu wa 2022/23 walipishana na ubingwa uliokwenda Yanga. Simba ina kazi ya kuanza kwenye hatua ya nusu fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Fountain Gate…

Read More

AZAM FC WANA JAMBO LAO

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Yusuph Dabo amesema kuwa wanatambua ushindani ni mkubwa watazidi kupambana kwa kuwa wana jambo lao kila mchezouliopo mbele yao wakihitaji kufanya vizuri. Azam FC kwenye mechi mbili mfululizo iliambulia sare ilikuwa dhidi ya Tabora United na Tanzania Prisons. “Tupo imara kwenye mechi ambazo tunacheza na malengo yetu ni kuona kwamba…

Read More