Meridianbet Yafanya Kweli Kwa Udhamini wa UFC Fight Night Belgrade
Ni miaka 25 ya historia, na Meridianbet imeamua kuandika ukurasa mpya kwa staili ya kipekee. Kampuni hii kongwe ya ubashiri imechagua kusherehekea mafanikio yake kwa kudhamini pambano la UFC Fight Night Belgrade, tukio la kwanza kabisa kufanyika Serbia mnamo tarehe 01 mwezi wa 08. Hili ni tamasha la nguvu linalounganisha michezo, burudani na ubashiri kwa…