
SIMBA MIKONONI MWA MABINGWA CAF
WAKIWA na hesabu za kuvaana na Ihefu kesho mchezo wa Khatua ya robo fainali Azam Sports Fedration wameshatambua kigongo watakachokutana nacho kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Ni Wydad Athletic Club hawa watamenyana na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kwenye mchezo wa hatua ya robo fainali. Baada ya droo kuchezwa nchini Misri tayari Simba…