
VIDEO:MWAKINYO HUYU HAPA MSIKIE KUHUSU PAMBANO LAKE
MWAKINYO huyu hapa kuhusu pambano lake
MWAKINYO huyu hapa kuhusu pambano lake
WACHEZAJI wa Geita Gold chini ya Kocha Mkuu Fred Felix ‘Minziro’ wanaendelea na maandalizi kuelekea mchezo wao wa hatua ya robo fainali Azam Sports Federation. Geita Gold watavaana na Yanga Aprili 8, 2023 katika dimba la Azam Complex Chamazi. Ikumbukwe kwamba mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga walioshinda dhidi ya Coastal Union. Katika mchezo…
MASTAA wa Azam FC waliokuwa kwenye majukumu ya timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wamerejea kambini na kuanza mazoezi na wachezaji wengine. Nyota wawili wa Azam walikuwa kwenye kikosi cha Stars ambacho kilikuwa na kazi ya kusaka pointi sita dhidi ya Uganda kuwania kufuzu Afcon 2023. Ni Abdul Suleiman, ‘Sopu’ na Nahodha msaidizi, Sospeter…
Simba yawavimbia Waarabu, bilionea GSM atoa kauli ya kutisha Afrika ndani ya Championi Ijumaa
Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/7p1fiy Meridianbet inazidi kujipambanua kila iitwayo siku na kuwafikia watu wenye uhitaji mbalimbali wakiwemo Boda boda, walemavu, wachezaji na wengine wengi na sasa ni zamu ya Mama Ntilie wa Kariakoo na Manzese ambao waliweza kupatiwa…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ameidaa vizuri timu kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ya Morocco. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa nchini Morocco Machi 31 saa 4:00 usiku kwa Afrika Mashariki hapa nyumbani Tanzania itakuwa ni Aprili Mosi saa 7:00 usiku. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo…
TIMU ya Wasichana ya Shule ya Fountain Gate chini ya umri wa miaka 15, inatarajiwa kuondoka nchini Aprili 2 kuelekea Afrika Kusini kwa ajili ya Mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa shule za Sekondari. Timu hiyo inakwenda katika Mashindajo hayo baada ya kufanikiwa kuwa Mabingwa wa Ukanda wa CECAFA kwa shule za Sekondari kwenye…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe ambao ni wa hatua ya makundi kikubwa wanachohitaji ni pointi tatu. Timu hiyo inakumbuka kwamba mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Mkapa iliibuka na ushindi wa mabao 3-1 hivyo wanakwenda ugenini kulinda ushindi na kusaka rekodi mpya wakiwa wanaongoza…
MASTAA watatu wa Simba wamepenya kwenye msako wa kuwania tuzo ya mchezo bora wa mwezi. Ni Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashabiki (Emirate Aluminium Profile Simba Fans Player of the Month) kwa mwezi Machi, 2023. Wachezaji hao ni Jean Baleke wa DR Congo, Clatous Chama wa Zambia na Aishi Manula wa Tanzania. Tuzo hiyo anayepewa…
KWENYE mchezo wa kuwania kufuzu Afcon, Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Tanzania 0-1 Uganda ambapo umeme ulikatika kwenye mchezo huo na kufanya mchezo kusimama kwa muda, kupoteza kwa Stars Jembe amezungumzia suala hilo
Winga mkongo mambo safi Yanga, Mbrazil Simba ampa kazi maalum Baleke, Kibu ndani ya Spoti Xtra Alhamisi
KOCHA Antonio Conte ameripotiwa kutoa baraka zake kwa wakufunzi wake kusalia Tottenham Hotspur – lakini kaka yake Gianluca anatazamiwa kumfuata kwenye safari ya kuondoka klabuni hapo. Muitaliano huyo hatimaye anaondoka Spurs kwa makubaliano ya pande zote kufuatia kutoa maneno ya kejeli dhidi ya wachezaji wake baada ya sare ya mabao 3-3 dhidi ya Southampton mapema…
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Mmalawi Peter Banda amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo, kwa kuwaambia kuwa amepona na yupo fiti kucheza mchezo wa mwisho wa hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba itavaana dhidi ya Raja Casablanca saa 7:00 usiku wa kuamkia Jumamosi huko nchini Morocco katika mchezo wa marudiano unaotarajiwa kujaa upinzani…
KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazil, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amepanga kuwapa nafasi wachezaji wote kwa lengo la kuangalia uwezo wa kila mmoja kabla ya kukabidhi ripoti ya kuwatema baadhi ya mastaa kuelekea msimu ujao. Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, imepanga kukifanyia maboresho makubwa kikosi hicho katika msimu ujao kwa kusajili wachezaji wapya na kuwaongezea mikataba wale…
VITA ni kubwa kwelikweli kwenye Championship kutokana na kila timu kupambana kupata matokeo mazuri ili kufikia malengo ambayo wamejiwekea. Hili ni muhimu kufanyika kwakila timu kuhakikisha kila kitu kinakwenda sawa na kwa wale ambao wamekata tamaa bado muda upo wakuzinuduka kwa sasa. Kutokana na kila timu kuwa na mpango wa kupanda ligi kunaongeza ushindani na…
Sub-Heading: Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii Unaambiwajee!! Ni dozi juu ya dozi, Meridianbet imekuja na promosheni nyingine ambapo hii sio ya kinyonge kwakuwa inakupa nafasi ya kuwa mshindi wa kila siku hata kama umechana na timu moja. Ni Cash Back…
BAADA ya ushindi kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC mpango kazi kwa Azam FC ni mchezo wao wa Azam Sports Federation hatua ya robo fainali. Timu hiyo iliibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya KMC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilikuwa Machi 27. Kete yake inayofuata kwenye mechi za mashindano ni…