
KIMATAIFA YANGA MMEFANYA KAZI KUBWA, SIMBA PIA
HAKIKA ni wakati mzuri kwa Yanga kutokana na kile ambacho walikuwa wanapigia hesabu kujibu kwa wakati. Kutinga hatua ya nusu fainali kwenye mashindano makubwa Afrika ni heshima kwa Tanzania na timu yeyewe inaonyesha ukomavu wake. Wachezaji bila kusahau benchi la ufundi hakika walikuwa kwenye kazi kubwa kutimiza majukumu yao uwanjani na nje ya uwanja. Mashabiki…