
YANGA YAZITAKA POINTI TATU ZA SINGIDA BIG STARS
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unahitaji pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Singida Big Stars unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti. Mei 4, Yanga itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu ambazo Singida Big Stars nao wanazihitaji pointi hizo. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa wanatambua uimara wa wapinzani wao…