
KMC YAPIGA HESABU HIZI HAPA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa mechi tatu ambazo zimebaki wanahitaji matokeo ya ushindi kufanikisha malengo ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara. Timu hiyo ina pointi 26 imecheza mechi 27 kwenye msimamo ipo nafasi ya 14 vinara ni Yanga walio nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 68. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema…