
VIDEO:NYAMBAYA ATOBOA SIRI YANGA KUCHEZA FAINALI
NYAMBAYA atoboa siri Simba, Yanga kucheza fainali pamoja na mkwanja wa Mama namna ambavyo zinaongeza hamasa kwa timu kusaka ushindi
NYAMBAYA atoboa siri Simba, Yanga kucheza fainali pamoja na mkwanja wa Mama namna ambavyo zinaongeza hamasa kwa timu kusaka ushindi
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi 15 akifunga mabao manne na ametoa pasi 7 za mabao moja kati ya hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa. Nyota huyo kahusika kwenye…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema hawatarudia makosa ambayo walifanya 2021 walipokutana na Rivers United kwenye mashindani ya kimataifa. Septemba 12 2021 kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ubao ulisoma Yanga 0-1 Rivers United na ule wa pili ubao ulisoma Rivers United 1-0 Yanga ilikuwa ni Septemba 19. Kocha huyo ameiongoza Yanga kwenye…
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa anafurahishwa na ushirikiano uliopo kwenye safu ya ulinzi kwenye mechi ambazo wanacheza kitaifa na kimataifa. Simba imetoka kupata ushindi dhidi ya Yanga kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa na ilipata ushindi mchezo wake uliofuata dhidi ya Wydad Casablanca ambao ni wa Ligi ya…
MO aingilia kati shoo ya Waarabu, Mayele awakatisha tamaa Wanigeria ñdani ya Championi Ijumaa
UIMARA wa kipa namba moja wa Yanga, Djigui Diarra nyuma yupo mtaalamu wa mbinu anaitwa Milton Nienov. Sio mdaka mishale tu hata Metacha Mnata pia ambaye ni kipa namba mbili kwa sasa ananolewa na kocha huyu. Erick Johora na Aboutwalib Mshery ambaye bado hajwa imara akirejea atakuwa mikononi mwa kocha huyu. Katika upande wa ulinzi…
MZEE Muchachu ambaye ni shabiki wa Simba ameweka wazi kuwa ikiwa Yanga watatwaa taji la Kome la Shirikisho Afrika atakwenda kuwapokea na kufurahi pamoja nao huku akiamini kwamba Yanga itacheza fainali
MKONGWE kwenye masuala ya uandishi wa Habari za Michezo kitaifa na kimataifa ndani ya Bongo, Jembe amezungumzia mlima waliona Simba kwenye anga la kimataifa dhidi ya Wydad Casablanca. Ni timu mbili ambazo zipo kwenye hatua ya robo fainali kwa Tanzania ambapo Yanga ipo kwenye Kombe la Shirikisho Afrika huku Simba ikiwa Ligi ya Mabingwa Afrika.
Sloti ya Blackjack Live Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/ mchezo wa karata ni sloti yenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack…
WAKIWA ugenini wameshuhudia ubao ukisoma Nottm Forest 3-1 Brighton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ilikuwa dakika ya 45 alijifunga Pascal Grob, Danilo dakika ya 69 na Morgan Gibbs-White dakika ya 90. Ni Facundo Buonanotte dakika ya 38 alipachika bao ndani ya City Ground. Nottm Forest imecheza mechi 33 ikiwa na pointi 30 huku Brighton…
NGOMA ni nzito kwa wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga kwenye anga la kimataifa kutokana na kilatimu kuwa imara kwenye ushambuliaji huku Simba ikiwa na tatizo kwenye ulinzi. Roberto Oliveira raia wa Brazil anakiongoza kikosi cha Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku Nasreddine Nabi raia wa Tunisia yupo na Yanga kwenye Kombe la Shirikisho…
MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Azam FC kwenye safu ya ushambuliaji wanaandaliwa kuimaliza Simba kwenye hatua ya nusu fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga ambao walipata ushindi dhidi ya Coastal Union ya Tanga kwenye mchezo wa fainali. Ni nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei 6,2023 pale…
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema uwepo wa nyota kama Clatous Chama, Saido Ntibanzokiza, Kibu Dennis pamoja na wachezaji wengine wote wa Simba unampa nguvu ya kuamua nani ataanza kikosi cha kwanza na kupata matokeo. Ni dakika 1,710 ambazo ni mechi 19 mfululizo za ligi kocha huyo akishirikiana na Juma Mgunda wameongoza bila kufungwa…
MANCHESTER City wakiwa Uwanja wa Etihad walibaki na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Arsenal. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Manchester City 4-1 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England. Kevin De Bruyne alipachika mabao mawili dakika ya 7,54 huku John Stones alipachika bao moja dakika ya 45 na msumari wa nne Mali ya…
“WASHA Wifi na usizime Data, hawa ni Wekundu wa Msimbazi Simba, wanaendelea palepale walipoishia, Jean Baleke namna ambavyo anafanya, ndivyo ambavyo anaendeleza kwenye Dimba la Benjamin Mkapa,” alisikika akiunguruma mtangazaji wa kituo cha ZBC2, Ghalib Mzinga akisherehesha bao la Baleke dhidi ya Wydad Casablanca. Ndiyo, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam…
LICHA ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar, benchi la ufundi la Mbey City limebainisha kuwa bado kuna nafasi ya kubaki kwenye ligi. Kwenye mchezo huo uliochezwa Aprili 24 bao pekee la Kagera Sugar lilipachikwa kimiani na Ally Ramadhan, ‘Ufudu’ likamshinda kipa wa Mbeya City Haroun Mandanda ilikuwa dakika ya 88. Timu hiyo…
SIMBA yafanya ubabe Morocco, Yanga yabainisha kuwa vita bado haijaisha ndani ya Spoti Xtra Alhamisi