
MO AFANYA KUFURU USAJILI,BOSI YANGA ATANGAZA UMAFIA
MO afanya kufuru usajili, bosi Yanga atangaza umafia ndani ya Championi Jumatatu
MO afanya kufuru usajili, bosi Yanga atangaza umafia ndani ya Championi Jumatatu
AZAM FC kushusha majembe wengine wawili wa kazi kwa ajili ya msimu wa 2023/24. Wafungukia ishu ya Feisal Salum kiungo wa kwanza kusajiliwa akitokea kikosi cha Yanga. Feisal ni kiungo anayevaa jezi namba sita kutoka Yanga na sasa atakuwa akipata changamoto mpya ndani ya Azam FC katika ligi kuu bara
INAELEZWA kuwa Hassan Nassoro kiungo mshambuliaji wa Mbeya City yupo kwenye rada za JKT Tanzania kwa ajili ya kuinsa saini yake. Rasta huyo alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za mabingwa wa ligi Yanga ambao walikuwa wanahitaji saini yake. Mbali na Yanga pia Singida Big Stars nao walikuwa wanatajwa kuiwinda saini ya mwamba huyo kwa ajili…
KIVUMBI kinatarajiwa kutimka leo Julai 2 kwa mchezo wa fainali ya Ligi ya Vijana U 20 kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Geita Gold. Mtibwa Sugar walifanikiwa kuingia fainali baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Mtibwa Sugar 2-1 Azam FC huku Geita Gold wao ubao ulisoma Kagera Sugar 0-2 Geita Gold. Kocha…
TAYARI kazi ipo wazi kwa sasa kutokana na dirisha la usajili kufunguliwa Julai Mosi na Agosti 31 dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa. Kuanzia Championship, Ligi ya Wanawake, First League mpaka NBC League tayari wana taarifa kwamba dirisha la usajili lipo wazi. Sio Yanga, Singida Big Stars ambayo kwa sasa ni Singida Fountain Gate FC ni…
KOCHA mpya Yanga atua na Wazungu wanne, sifa za mrithi wa Sawadogo hizi hapa ñdani ya Spoti Xtra Jumapil
ISMAILI Sawadogo hatakuwa miongoni mwa nyota watakaokuwa katika kikosi cha Simba msimu wa 2023/24 baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili kuachana. Nyota huyo ni shuhuda watani zao wa jadi Yanga wakitwaa ubingwa huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Kiungo huyo hakuwa chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kutokana na kutokuwa fiti…
MTAMBO wa mabao ndani ya Azam FC bado utaendelea kuwepo hapo baada ya kuongeza kandarasi ya mwaka mmoja. Ni Idris Mbombo ambaye ana uwezo wa kufunga mabao akiwa nje ya 18 ama ndani ya 18 kwa wapinzani akiwa ndani ya uwanja. Ni shuhuda timu ya Azam FC ikigotea nafasi ya tatu huku Yanga wakitwaa ubingwa…
KLABU ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemtangaza rasmi Molefi Ntseki kuwa ndiye kocha wao mkuu kwenye timu hiyo. Kutokana na hatua hiyo, ni wazi kwamba klabu hiyo ya Kaizer Chiefs imeamua kuachanana na mpango wake wa kumpa kazi Nassredine Nabi ambaye alikuwa kocha mkuu wa Klabu ya Yanga. Nabi alikuwa ndani ya Yanga kwa…
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa unakuja mtikisiko kwenye suala la usajili kutokana na mipango makini waliyonayo. Chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi msimu wa 2022/23 Yanga ilikomba mataji yote ya ndani ikiwa ni Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Azam Sports Federation. Katika anga la kimataifa Yanga safari yao kwenye Kombe la Shirikisho…
LEGEND kwenye uandishi wa habari za michezo Saleh Ally ameweka wazi kuhusu thamani ya uwekezaji kwa timu za Ligi Kuu Bara ikiwa ni pamoja na Yanga, Simba kwenye upande wa bajeti zao. Jembe amezungumzia kuhusu namna hali halisi ilivyo kwenye ligi pamoja na maendeleo ya soka la Tanzania. Ipo wazi kuwa kwa msimu wa 2022/23…
KIGOGO Yanga afichua siri, Simba yampa Mkude heshima yake ndani ya Spoti Xtra, Alhamisi
MWAMBA Daniel Amoah beki wakuaminika ndani ya kikosi cha Azam FC bado yupo ndani ya Azam FC baada ya kuongeza dili la mwaka mmoja. Nyota huyo anaingia kwenye orodha ya waliomtungua Djigui Diarra, ‘Screen Protecta’ kipa namba moja wa Yanga kwenye Mzizima Dabi, Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Azam FC 2-2 Yanga. Amoah ni mechi…
RASMI kiungo Djibril Sillah nyota wa Gambia ni ingizo jipya ndani ya Azam FC. Kiungo huyo anakuja kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho kimekosa ubingwa msimu wa 2022/23 ambao umekwenda Yanga. Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam FC imeweka wazi kuwa wamefikia makubaliano na Klabu ya RS Berkane kumnunua kiungo huyo mshambuliaji Raia huyo wa Gambia…
JEMBE afichua suala la kiungo wa zamani wa Simba, Jonas Mkude kusajiliwa Yanga baada ya kuachana na Simba. Mkude ni Legend ambaye amedumu kwa muda ndani ya kikosi cha Simba ambacho kwa sasa kinanolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira
PAPE Malickou Ndoye nyota wa Azam FC ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kubaki ndani ya timu hiyo. Nyota huyo raia wa Senegal amekuwa na kazi kubwa katika timu hiyo ambayo imekamilisha ligi ikiwa nafasi ya tatu. Taarifa rasmi kutoka ndani ya Azam FC imeeleza kuwa nyota huyo ambaye ni beki kitasa bado yupo ndani ya…
SIMBA mpya usipime, huyu Gamondi ni Nabi mtupu ndani ya Championi Jumatano