
SINGIDA FOUNTAIN GATE FC NI ARUSHA
RASMI Klabu ya Singida Fountain Gate ya Singida imebainisha kuwa kambi yake itakuwa ni Arusha kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Taarifa rasmi iliyotolewa na Singida Fountain Gate FC imeeleza namna hii:”Tunapenda kuwataarifu wadau na mashabiki wa Singida Fountain Gate FC kwamba maandalizi ya msimu ujao kwa klabu yetu yatafanyikia jijini Arusha…