
JONAS MKUDE MOJA YA SAINI BORA NDANI YA YANGA
AMONG of the Quality sign hivyo tu basi unaweza kusema ikiwa utahitaji kueleza kuhusu usajili wa Yanga kwa kiungo wa kazi eneo la kati anayeitwa Jonas Mkude. Ni yeye Jonas Mkude hivi karibuni alipokuwa akizungumzia kuhusu yeye kuibuka ndani ya Yanga tetesi zilipokuwa nyingi hakuzungumza maneno mengi wala machache lakini yalikuwa na uzito mkubwa sana….