
ASEC MIMOSAS WANATOA SOMO, YANGA NA SIMBA HAWAJAMALIZA
BAADA ya Aziz KI kutoka ASEC Mimosas amefungua njia kwa wachezaji wengine kutoka hapo kuja kwenye ligi ya Bongo baada ya kujiunga na Yanga. Wakati mzuri kwao wanauza na maisha yanaendelea bila kuyumba jambo ambalo ni somo kwa timu za Bongo. Kuna baadhi ya timu zikiuza mchezaji mmoja kila kitu kinakuwa kipya na wanapambana kurejea…