SINGIDA FOUNTAIN GATE YAPANIA KUFANYA KWELI

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa utafanya kwenye anga la kitaifa na kimataifa kutokana na mipango makini iliyopo ndani ya timu hiyo inayodhamiwaniwa na SportPesa Tanzania. Singida Fountain Gate ni miongoni mwa timu zitakazoiwakilisha Tanzania kwenye mechi za kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kumaliza ligi ikiwa nafasi ya nne. Singida…

Read More

KIPA MPYA SIMBA HUYU HAPA

RASMI Klabu ya Simba imetangaza nyota Jefferson Luis raia wa Brazil kuwa kipa mpya ndani ya timu hiyo. Kipa huyo ni nyota wa 10 kusajiliwa ndani ya Simba ambayo imeweka kambi Uturuki kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24. Alikuwa anacheza Klabu ya Resende FC ya Serie D ya Brazil na msimu uliopita alicheza…

Read More

VIDEO:MWALIMU YANGA AMCHAMBUA MAXI

MWALIMU Yanga amemchambua nyota mpya wa Yanga Maxi ambaye ameonekana kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs. Katika kilele cha SportPesa Wiki ya Mwananchi Julai 22 Maxi aliupiga mwingi ndani ya dakika 45 na ubao ukasoma Yanga 1-0 Kaizer Chiefs ukiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki.

Read More

HII YA YANGA IMEENDA MABORESHO YANAHITAJIKA

HATIMAE SportPesa Wiki ya Mwananchi 2023 imeenda na kweli imekuwa hivyo kwa namna ambavyo walikuwa wamepanga. Mpangilio mzima wa matukio na namna ambavyo mashabiki walijitokeza kuona burudani hizo. Hatua moja kila wakati mbali na mchezo wa kimataifa wa kirafiki ambao ulikamilika kwa ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Yanga 1-0 Kaizez Chiefs bado kazi imeonekana….

Read More

MSHAMBULIAJI WA SIMBA SUALA LA MUDA KUTANGAZWA

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Simba Charles Ilanfya anatajwa kufikia makubaliano mazuri na Ihefu muda wowote atasaini mkataba mpya na kutangazwa. Ihefu ya Mbeya ni timu ya kwanza kuifunga Yanga kwenye ligi kwa msimu wa 2022/23. Ikumbukwe kwamba wakati rekodi ya Ihefu kuifunga Yanga inaandikwa timu ya Yanga ilikuwa imecheza mechi 49 za ushindani kwenye ligi…

Read More

LEO NI LEO ASEMAYE KESHO HUYO NI MUONGO

LEO ni leo mashabiki wa Yanga wapo ndani ya Uwanja wa Mkapa kushuhudia mastaa wao wapya na wale ambao walikuwa na kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Balaa la usajili Yanga bado wanaendelea nao wakishusha wachezaji wazawa na wale wa kigeni kuboresha timu hiyo iliyokuwa kwenye mwendo bora 2022/23. Hapa tunakuletea baadhi ya mastaa waliopo…

Read More

AZAM FC WAMEANZA NA HILI

KOCHA Mkuu Youssouph Dabo wa Azam FC amesema kuwa anawapa mbinu mpya wachezaji wake zitakazowafanya wawe wakomavu wa fikira. Timu hiyo ipo kambini nchini Tunisia kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Ipo wazi kwamba Azam FC ni mashuhuda wa taji la ubigwa wa ligi msimu wa 2022/23 likiwa ni mali ya Yanga. Katika…

Read More

BAADAE HAITAFIKA KAMWE, MUDA NI SASA

BAADAE kidogo ni nadra sana kufika ila sasa hiyo ipo muda wote hivyo ni muhimu kuifanyia kazi kwa umakini mkubwa. Muda uliopo kwa sasa kwa Yanga ni kuboresha zaidi ya yale waliyofanya wakati uliopita kwenye Wiki ya Mwananchi ili izidi kuwa ya utofauti. Maandalizi kwa Yanga tangu awali yameonekana kwenda kulingana na mipango yao katika…

Read More

LUIS NI MNYAMA AMETAMBULISHWA

RASMI Luis Miquissone ametambulishwa ndani ya kikosi cha Simba ambacho kimeweka kambi Uturuki kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Nyota huyo ni chaguo la mashabiki ambao walipewa chaguo la kumtaja nani ambaye atarejea kwa kuwa alibaki mmoja kati ya wawili ambao Simba ilipanga kuwarejesha. David Kameta ambaye ni beki huyu alianza kisha swali likabaki…

Read More

MUVI YA WANANCHI KUPORWA MCHEZAJI NA WATANI IPO HIVI

UONGOZI wa Simba umefafanua mbinu ilizotumia kuinasa saini ya kiungo Fabrice Ngoma ambaye alikuwa anatajwa kuwa kwenye hesabu za watani zao wa jadi, Yanga. Nyota huyo aliyekuwa anakipiga Al Hilal ya Sudan alitambulishwa na Simba Julai 14 na alisaini dili la miaka miwili kuitumikia timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira. Yanga wanatajwa kuwa…

Read More

VIDEO:KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA KUHUSU KAIZER CHIEFS

KOCHA Mkuu wa Yanga Migueli Gamondi amezungumzia kuhusu mchezo wa kesho dhidi ya Kaizer Chiefs. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya SportPesa Wiki ya Mwananchi ikiwa ni maalumu kwa kuwatambulisha wachezaji wapya na wale waliokuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Yanga imekamilisha usajili wa wachezaji wazawa ikiwa ni pamoja na Jonas…

Read More