
MATOKEO MAZURI NA MABAYA YANATAFUTWA UWANJANI
USHINDANI kwa msimu mpya unategemewa na maandalizi ya ambayo yanafanywa kwa wakati huu kwa kila timu. Iwe ni Yanga ama Singida Fountain Gate hata Simba au Namungo wote matokeo yanaamuliwa na kile wanachokifanya kwa sasa. Kila timu inapambana kwa ajili ya maandalizi huku mabingwa watetezi Yanga kambi yao ikiwa AVIC Town Kigamboni, Singida Fountain Gate…