
RAIS SAMIA MGENI RASMI SIMBA DAY
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi Simba Day. Tukio hilo la kutambulisha wachezaji pamoja na benchi la ufundi linatarajiwa kufanyika Uwanja wa Mkapa, Agosti 6 2023. Tayari Simba imetambulisha msanii mkubwa Afrika Mashariki, Ali Kiba ambaye aliwahi kuwa shabiki wa Yanga na sasa amehamia Simba huyu atakuwa…