
MAXI AMCHOMOA AZIZ KI YANGA
MAXI amchomoa Aziz Ki Yanga, Simba: Tutatangazwa ubingwa kabla ya mechi 5 ndani ya Championi Jumatano
MAXI amchomoa Aziz Ki Yanga, Simba: Tutatangazwa ubingwa kabla ya mechi 5 ndani ya Championi Jumatano
Leo hii Agosti 1 Meridianbet imekutana na waandishi wa habari eneo la Four Points by Sheraton Posta kwaajili ya uzinduzi wa kampeni yao ya Vuna Zaidi na Airtel Money ambayo imeanza leo na kikomo chake ni Septemba 15 mwaka huu wa 2023. Promosheni hii ni kwaajili ya wateja wanaotumia mtandao wa Airtel Money kufanya miamala…
MCHEZA kwao hutuzwa ipo hivyo na Singida Fountain Gate watakuwa nyumbani kuwapa burudani mashabiki wao ikiwa ni mwanzo kuelekea msimu mpya. Agosti 2, 2023 ni sikukuu ya wakulima wa alizeti Singida Fountain Gate kwenye Uwanja wa Liti ikiwa ni Singida Big Day hii itakuwa sio ya mchezomchezo. Hapa tunakuletea namna mipango inavyokwenda Singida Fountain Gate:-…
BAADA ya kikosi cha Simba kuweka kambi kwa muda Uturuki, Agosti Mosi safari ya kurejea Dar imeanza ili kuendelea na maandalizi ya mwisho kwa msimu wa 2023/24. Agosti 6 Simba itakuwa na tamasha la Simba Day lililotanguliwa na watani zao wa jadi Yanga kukamilisha Wiki ya Mwananchi. Agosti 2 ni Singida Big Day ambayo ni…
USHIRIKIANO kwenye kazi ambazo zinafanywa kwa sasa ni muhimu kwenye kila jambo na hii inaongeza nguvu kwenye kupata matokeo chanya. Mabingwa msimu wa 2022/23 Yanga wana kazi kubwa kufikia malengo yao kwa msimu mpya. Ikumbukwe kwamba Yanga ilipata mafanikio kwa kutwaa mataji mengine ikiwa ni Kombe la Azam Sports Federation na Ngao ya Jamii. Pia…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa wachezaji wote wapo tayari kwa msimu mpya wa 2023/24. Simba ilipashana na mataji msimu wa 2022/23 ambapo ni Yanga walitwaa mataji yote kuanzia Ngao ya Jamii, Kombe la Azam Sports Federation. Katika mchezo wa Ngao ya Jamii, Yanga iliwatungua mabao 2-1 Simba kwenye…
KUELEKEA Singida Big Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 2, Uwanja wa Liti uongozi wa Singida Fountain Gate umetambia jambo lao kuwa litakuwa na upekee kwenye kila hatua. Ni burudani kwa mashabiki wa Singida Fountain Gate ambapo wanakwenda kutambulisha kikosi rasmi kwa msimu wa 2023/24 na benchi jipya la ufundi. Ofisa Habari wa Singida Fountain Gate, Hussein…
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapiga mkwara mzito mastaa wote wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na kiungo Jonas Mkude aliyeibuka hapo akitokea ndani ya kikosi cha Simba. Habari zinaeleza kuwa Gamondi kwenye uwanja wa mazoezi yanayoendelea AVIC Town aliwaambia wachezaji wake kuwa wanapaswa kucheza kwa utulivu na kuepuka kucheza faulo ambazo hazina ulazima….
MAXI, Skudu wabebeshwa mzigo Yanga, Luis ampa mzuka Robertinho ndani ya Spoti Xtra Jumanne
KLABU ya Yanga chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ina kibarua cha kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga la kimataifa. Ni katika Ligi ya Mabingwa Afrika Yanga itakuwa na kazi ya kupeperusha bendera ya Tanzania. Katika hatua ya awali Yanga inatarajiwa kumenyana na Association Sportive d’Ali Sabieh Djibouti Télécom ambayo haipo kinyonge uwanjani. Wapinzani wa…
KIPA mpya wa Simba Luis Jefferson anatajwa kupata maumivu kwenye mazoezi Uturuki ikiwa ni muda mfupi tangu atambulishwe. DR Shabiki wa Simba amebainisha kuhusu suala la mchezaji huyo ambaye hajapata fursa ya kucheza kwenye ligi ya Tanzania inayotarajiwa kuanza hivi karibuni. Ikumbukwe kwamba ni Yanga ambao ni mabingwa wa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea…
MANDOGA mtu kazi baada ya kupoteza pambano lake ameweka wazi kuwa kuna mengi alikutana nayo tangu mwanzo wa kupima uzito na mwisho kapoteza anajipanga upya
FISTON Mayele amepewa jezi namba 9 ndani ya kikosi cha Pyramids ikiwa ni ingizo jipya. Nyota huyo msimu wa 2022/23 alikuwa ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kilikuwa kinanolewa na Nasreddine Nabi. Namba 9 inakuwa ni zawadi kwake Mayele kuendelea kuitumia kama alivyokuwa akifanya ndani ya Yanga na sasa atakuwa akiivaa mbele ya Waarabu hao…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti gazeti la Championi Jumatatu
JEMBE jipya la Yanga limechamuliwa na Simba, Julai 29 Yanga walitambulisha nyota mpya ambaye ni mshambuliaji. Hafiz Konkoni ametambulishwa ndani ya Yanga ambayo imeweka kambi AVIC Town
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umebainisha kuwa haujamaliza kazi ya kutambulisha nyota wapya kutokana na kujipanga kuwa tofauti. Timu hiyo imeweka kambi Morogoro kwenye Uwanja wa Manungu na jana ilitarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, Uwanja wa jamhuri. Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar, Thobias Kifaru amesema kuwa walikuwa kimya kwa muda wakikamilisha utaratibu wa…
UKURASA wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili