
AZAM WATAJA SABABU KUVUNJIKAMCHEZO MBELE YA WAARABU
HASHEEM Ibwe Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa sababu iliyofanya mchezo wao wa kirafiki kuvunjika katika dakika ya 60 ni kutokana na kutokuwa mchezo wa kiungwana kwa asilimia kubwa. Timu hiyo imeweka kambi Tunisia ikiwa ni kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24 na wamekuwa wakicheza mechi za kirafiki kuongeza hali ya kujiamini…