Home Sports VIDEO:JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA SAKATA LA BANGALA NA DJUMA

VIDEO:JEMBE AFUNGUKIA ISHU YA SAKATA LA BANGALA NA DJUMA

LEGEND kwenye masuala ya uandishi wa habari za michezo kitaifa na kimataifa Saleh Jembe amefungukia ishu ya sakata la nyota wawili wa Yanga.

Djuma Shaban ambaye ni beki wa Yanga na Yannick Bangala ambaye ni kiraka ndani ya Yanga hawakuwa sehemu ya kikosi kilichotambulishwa Siku ya Mwananchi, Uwanja wa Mkapa.

Jembe amefafanua kuhusu suala la nyota hao wawili wa Yanga kutokuwa kwenye kikosi pamoja na suala la kuhitaji kuvuja kandarasi.

Previous articleVIDEO:MANDONGA MTU KAZI AFUNGUKIA KUPIGWA KO KENYA
Next articleAZAM WATAJA SABABU KUVUNJIKAMCHEZO MBELE YA WAARABU