
YANGA YAKOMBA MILIONI 20 KISA WAARABU
YANGA wameandika rekodi ya kutinga hatua ya robo fainali kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya wapinzani wao CR Belouizdad mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ushindi huo umewapa fursa Yanga chini ya Kocha Mkuu Miguel Gamondi kuwa timu ya kwanza kutinga hatua ya robo fainali kwa Tanzania huku Simba ikiwa na kibarua cha kusaka ushindi…