
YANGA BADO WANA JAMBO LAO
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupoteza mchezo wao dhidi ya Simba sio mwisho wa kazi maisha lazima yaendelee. Kabla ya mchezo Aprili 16 Kamwe alimwambia Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally kuwa wiki ya Jumatatu ya Aprili 17/2023 itakuwa ni ya masimango kwa mmoja huku mwingine akiwa na…