
SINGIDA FOUNTAIN GATE WAPANIA KUFANYA VIZURI
TIMU ya Singida Fountain Gate inayoshiriki ligi kuu Tanzania bara inaendelea na maadalizi kujiandaa na msimu ujao wa ligi kuu 2023/2024. Singida Fountain Gate iliweka kambi Arusha ilirejea Singida kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya tamasha la Singida Big Day. Tamasha la Singida Big Day lilifanyika Agosti 2 2023 na walitambulisha wachezaji wapya na…