
MASTAA WAPYA YANGA SKUDU, MAXI WAPEWA MZIGO MZITO
ALIYEKUWA mshambuliaji wa Yanga, Mkongomani, Fiston Mayele, amesema anaamini usajili uliofanywa na timu hiyo, unatosha kabisa kutetea makombe yote ya ndani katika msimu ujao wa 2023/24. Yanga ina kibarua kigumu cha kutetea makombe yake ya Ngao ya Jamii, Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports ambayo mshambuliaji huyo alihusika kuyabeba msimu wa…