
YANGA WAPANIA KUVUNJA REKODI
WAKIWA wameandika rekodi ya kutwaa mataji matatu msimu wa 2022/23 Yanga wameweka wazi kuwa wanajipanga kuvunja rekodi hiyo. Ni Ngao ya Jamii Yanga walitwaa kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Simba, walitwaa ligi na Azam Sports Federation kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa fainali, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga….