
JEMBE JIPYA LA YANGA LINA BALAA HILO
NI Mahlatse Manoka Makudubela ni nyota mwenye uwezo mkubwa akiwa ndani ya uwanja kutokana na kumiliki, kutoa pasi na chenga za kukera atakuwa Jangwani. Huyu ndiye atakayepewa namba sita ndani ya kikosi cha Yanga. Ikumbukwe kwamba jezi hiyo ilikuwa mikononi mwa Feisal Salum ambaye yeye msimu ujao hatakuwa ndani ya Yanga bali Azam FC. Nyota…