
KMC NA BENCHI JIPYA
ABDI Hamid Moallin ni kocha mpya ndani ya kikosi cha KMC chenye ngome yake pale Kinondoni. Kocha huyo ambaye amewahi kuifundisha Azam FC amerejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya Bongo. Safari hii atakuwa na KMC kuipambania ndani ya Ligi Kuu Bara msimu mpya ujao. KMC haikuwa na mwendo mzuri ndani ya msimu wa 2022/23…