
MTAMBO WA MABAO RASMI YANGA, SIMBA MTEGO
MTAMBO wa mabao rasmi Yanga, mastaa Simba wapewa mtego wa kwanza ndani ya Championi Jumatatu
MTAMBO wa mabao rasmi Yanga, mastaa Simba wapewa mtego wa kwanza ndani ya Championi Jumatatu
UPO uwezekano mkubwa wa Simba kuendelea na kocha wake msaidizi, Juma Mgunda katika msimu ujao licha ya usiri mkubwa ulikuwepo kati yake na mabosi wa timu hiyo. Mgunda hakuwakatika msafara wa timu hiyo, uliosafiri kwenda nchini Uturuki kwa ajili ya kambi ya wiki tatu kujiandaa na msimu ujao. Kocha huyo mzee wa ball itembee ni…
INAELEZWA kuwa Sudi Abdallah, ambaye ni raia wa Burundi, ndiye straika mpya anayekuja Yanga kurithi mikoba ya Mayele anayeondoka kwenda kucheza kwenye moja ya klabu huko Saudi Arabia. Sudi mara ya mwisho Januari 12, 2023, aliuzwa na Klabu ya Al-Naft SC ya nchini Iraq ambapo Julai 5 alijiunga na Klabu ya Kuching City ya nchini…
SIMBA, Yanga…. Moto utawaka, vyuma vipya balaa, kisa Chama, Simba yawaita Yanga mezani
UNAAMBIWA sasa ni rasmi kuwa mshahara wa milioni 50 aliopewa Fiston Mayele unamhalalisha hatakuwa mchezaji tena wa Yanga msimu ujao baada ya kuomba kwenda kukipiga nchini Saudi Arabia huku Yanga wakilambishwa zaidi ya Bilioni 1.2 kama dau la usajili. Mayele alijiunga na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili kisha akaongezwa mmoja mwaka jana akitokea As…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa uzi mpya wa msimu wa 2023/24 upo tayari na utazinduliwa Kilimanjaro. Kikosi cha Simba kimeweka kambi Uturuki na kwa sasa maandalizi kuelekea msimu mpya yanaendelea ikiwa ni pamoja na suala jezi mpya. Ipo wazi kuwa watani zao wa jadi Yanga wao uzi upo mtaani baada ya uzinduzi wao kukamilika….
MTAALAMU wa mapigo huru ndani ya kikosi cha Ihefu FC Nivere Tigere bado yupo ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2022/23. Ihefu ni timu ya kwanza kuifunga Yanga msimu wa 2022/23 ndani ya Ligi Kuu Bara. Hiyo iliandikwa rekodi baada ya Yanga kucheza mechi 49 mfululizo bila kufungwa. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa…
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa umetibua mipango ya vigogo wa Kariakoo ikiwa ni pamoja na Simba na Yanga zilizokuwa zinaiwinda saini ya Mtenje Albano. Vigogo hao wameduwazwa kwa kushuhudia saini ya nyota Albano ikiwa ndani ya Dodoma Jiji kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Rasmi ni mchezaji halali wa Dodoma…
MIAKA miwili kasaini mwamba Yao Kouas Attouhula akitokea Klabu ya ASEC Mimosa kuwa ndani ya Klabu ya Yanga. Ikumbukwe kwamba timu hiyo aliwahi kucheza Aziz Ki ambaye ni kiungo wa Yanga anayevaa jezi namba 10. Huyu anakuwa nyota watano kusajiliwa ndani ya Yanga baada ya Nickson Kibabage, Gift Fred,Jonas Mkude na Maxi Mpia Yeye ni…
TUKIWA tunaelekea kuanza msimu mpya wa mashindano imegeuka hali ya mazoea hivi sasa kwenye Ligi Kuu Bara na ligi za madaraja ya chini kila baada ya mizunguko kadhaa tumeshuhudia baadhi ya timu zikilimwa faini mbalimbali kutokana na vitendo vya kishirikina. Hali hii imegeuzwa mazoea na hii ni kutokana na adhabu ambazo zinatolewa huenda haziziathiri timu…
RASMI Fabrice Ngoma ambaye ni kiungo ametambulishwa kuwa mali ya Simba. Nyota huyo anakuja kuungana na wachezaji wengine kwa ajili ya kupambania malengo ya msimu wa 2023/24 na timu imeweka kambi Uturuki akijua kuwa ubingwa msimu wa 2022/23 upo kwa Yanga. Alikuwa anatajwa kuwa kweye rada za Yanga pamoja na Azam FC ila Simba wanatajwa…
IPO wazi kuwa kila timu kwa sasa ipo chimbo ikifanya kazi kubwa kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2023/24. Tunaona Azam FC wapo tayari wapo kambini kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya na kazi yao ya kwanza itakuwa kwenye nusu fainali Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga. Simba nao wapo kambini na…
MAXI Mpia Nzengeli ni ingizo jipya ndani ya Yanga akitokea kikosi cha Maniema ya Dr Congo. Yeye ni winga mwenye uwezo wa kupandisha mashambulizi na kufunga jambo ambalo limewavutia Yanga kuinasa saini yake. Nyota huyo mpya Yanga anaungana na wengine ambao wametambulishwa ndani ya Yanga ikiwa ni mzawa Nickson Kibabage aliyekuwa wa kwanza kutambulishwa. Mwingine…
ULIONA tambo za Ahmed Ally Meneja wa Idara ya Haari na Mawasiliano Simba kuhusu Jean Baleke na beki jipya?
MAYELE Out, Sudi in Yànga, Miquissone atua Dar, afichwa ndani ya Championi Ijumaa
WAKIWA Uturuki tayari wameanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2023/24 huku watani zao wa jadi Yanga wakiwa Bongo, Avic Town. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilipishana na mataji yote iliyokuwa inapambania na kushuhudia watani zao wa jadi Yanga wakitwaa mataji hayo. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kikosi cha Simba kinajifua…
HAMISI Kassimu Ndigo mkazi wa Kijichi ambaye ni muuza Chipsi Dar ni mshindi wa bonasi ya Super Jacpot ya SportPesa baada ya kupatia kwa usahihi mechi 15 kati ya 17 na kushinda Tsh. 5,908,578. Mshindi huyo wa SportPesa Hamisi amesema kuwa alianza kucheza na SportPesa miaka mitatu iliyopita kutokana na marafiki zake kucheza na kushinda…