
HIVI NDIVYO MGAWANYO ULIVYO, POTI ZA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA
MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amekiongoza kikosi hicho kutinga hatua ya makundi baada ya miaka 25. Atakuwa shuhuda wa kujua kundi atakalokuwa leo Oktoba 6 jijini Johannesburg, Afrika Kusini ikiwa ni tukio la kupangwa kwa droo ya hatua ya makundi kimataifa kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika. Kwa Simba ni…