
UBORA WA AZAM FC ULIFICHWA NAMNA HII DODOMA
KOCHA msaidizi wa Dodoma Jiji, Kassim Lyogope amesema kuwa ubora wa Azam FC upo kwenye viungo na hapo walipambana kuwabana wasipige pasi ndefu Kwa washambuliaji. Ni Idris Mbombo alikuwa miongoni mwa washambuliaji waliopata nafasi ya kuonyesha makeke yake Uwanja wa Jamhuri,Dodoma. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Dodoma Jiji 0-0 Azam FC hivyo wakagawana pointi…