
YANGA WAMEREJEA RELINI HHII NI ISHARA LIGI KUU USHIDANI UTAPANDA
UNAWEZA ukaona kama mzaha hivi lakini ubora wa Ligi kuu Bara unajidhihirisha, mapema sana katika raundi ya tano tumeanza kuona mengi. Ihefu akiwa mgeni wa KMC ya Kinondoni. Mechi ikapigwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Ihefu walipoteza mchezo huo kwa kufungwa bao 1-0. Ihefu walikuwa wanaingia uwanjani baada ya kuwa wa kwanza…