
GAMONDI AZIPIGIA HESABU KALI POINTI ZA SIMBA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia wa Argentina, amefichua kwamba, ana kazi kubwa mbele ya kuhakikisha anapata matokeo mazuri katika michezo yake mitatu ijayo ikiwemo dhidi ya Simba kabla ya kugeukia michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa lengo la kupunguza presha ya kupambania ubingwa wa Ligi Kuu Bara. Gamondi ametoa kauli ikiwa Yanga…