
Utajiri Leo Hii Upo Meridianbet Bashiri Sasa
Leo hii ligi mbalimbali zinaendelea ambapo tayari Meridianbet wamekuhakikishia mkwanja wa maana endapo utabashiri mechi hizo kwa usahihi kwani hapa kuna kila ambacho wewe unakitaka. EPL kutimua vumbi majira ya saa 4:00 ambapo Fulham atakuwa ugenini dhidi ya Spurs ya Ange. Ikumbukwe kuwa vijana hao wa London hawajapoteza mechi yoyote hadi sasa. Mara ya mwisho kukutana…