
MWAMBA LUIS ANAREJEA MDOGOMDOGO KWENYE UBORA WAKE
LUIS Miquissone kiungo wa Simba taratibu anarejea kwenye makali yake kutokana na kuwa na mchango mkubwa wa upatikanaji wa mabao ndani ya timu hiyo. Kiungo huyo sio chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Roberto Oliveira ambapo mchezo wa kwanza wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar alianzia benchi. Alipopata nafasi ya kuonyesha balaa lake, alitoa pasi…