IHEFU FUPA GUMU KWA SIMBA

KLABU ya Ihefu yenye maskani yake Mbeya ndani ya dakika 270 katika mechi tatu tofauti imekwama kusepa na ushindi mbele ya Simba. Ilikuwa katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo ubao ulisoma Simba 1-0 Ihefu katika mchezo wa mzunguko wa pili ubao ulisoma Ihefu 2-0 Simba Uwanja wa Highland Estate. Katika msako wa…

Read More

SIMBA YAFUNGUKIA USAJILI WA KI AZIZ

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba suala la mchezaji wa ASEC Mimosas Aziz KI kuweza kusajiliwa na timu hiyo litafanyiwa kazi ikiwa kutakuwa na ulazima wa kufanya hivyo. Imekuwa ikitajwa kwamba mshambuliaji huyo ambaye aliweza kumtungua kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula nje ndani yupo kwenye rada za mabingwa hao watetezi. Pia habari zilikuwa…

Read More

MAN U YAINGIA ANGA ZA DEPAY

MANCHESTER United inatajwa kuwania saini ya mshambuliaji wa Barcelona, Memphis Depay ili kuwanaye ndani ya kikosi hicho kinachoshiriki Ligi Kuu England.  Wanatajwa kuweka mezani kiasi ch pauni 8.4 milioni ili kuweza kumnasa mshambuliaji huyo. Msimu wa 2021/22 nyota huyo ndani ya La Liga alitupia mabao 12 akiwa ni kinara wa utupiaji ndani ya Barcelona. Awali…

Read More

TANZANIA PRISONS KUWAKABILI YANGA

TANZANIA Prisons inayotumia Uwanja wa Sokoine kwa mechi za nyumbani le Februari 11 inatarajiwa kuwa na kazi ya kusaka pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga. Kocha wa Prisons, Ahmad Ally ameweka wazi kuwa wanatambua mchezo utakuwa mgumu lakini wapo tayari kwa ajili ya kupambania pointi tatu. “Ni mchezo mgumu na…

Read More

MAYELE MTAMBO WA MABAO YANGA

NDANI ya Yanga ni Fiston Mayele anaongoza kwa kutupia mabao akiwa nayo matatu, aliwatungua Polisi Tanzania, Coastal Union na Mtibwa Sugar. Msimu uliopita Mayele alitupia mabao 16 na pasi nne za mabao kinara alikuwa ni George Mpole wa Geita Gold alitupia mabao 17. Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kila mchezaji anahitaji kufanya…

Read More

PABLO AANZA KAZI SIMBA

PABLO Franco, raia wa Hispania ambaye ni kocha mpya wa Simba, leo Novemba 12 emeanza rasmi kufundisha wachezaji wa Simba. Kocha huyo ambaye amechukua mikoba ya Didier Gomes raia wa Ufaransa ambaye alibwaga manyanga Oktoba 26 amesaini dili la miaka miwili kuwa ndani ya kikosi hicho. Katika mazoezi ambayo yamefanyika Uwanja wa Boko Veteran alikuwa…

Read More

MDAKA MISHALE KUKOSEKANA KESHO WA MKAPA

DJIGUI Diarra kipa namba moja wa Yanga ataukosa mchezo wa kesho dhidi ya Singida Big Stars kwa kuwa yupo kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Mali. Mdaka mishale huyo ni chaguo la kwanza la Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi hivyo kwa sasa amebakiwa na nyota wawili ambao ni Aboutwalib Mshery na Erick Johora. Pia Aziz…

Read More

AZAM FC WAFUNGA DESEMBA KIBABE

DESEMBA imekuwa bora kwa Azam FC baada ya tuzo kuelekea Azam Complex kutoka Kamati ya Tuzo ya Shirikisho là Mpira w Miguu Tanzania, (TFF). Ni Kipre Junior amechaguliwa kuwa mchezaji bora aliwazidi Prince Dube wa Azam FC na Aziz KI wa Yànga. Mbali na Kipre ambaye alihusika kàtika mabao manne kwenye michezo mitatu ndani ya…

Read More

MRITHI WA CHAMA SIMBA HUYU HAPA

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coastkwa mkataba wa miaka miwili. Ahoua mwenye umri wa miaka 22 ametokea Stella Club d’Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast huku akiwa ndiye MVP wa 2023/2024.

Read More

STARS YAREJEA KUANZA KUIPIGIA HESABU ALGERIA

BAADA ya kupata pointi moja ugenini Jana Juni 4,2022 leo Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, imewasili Dar kupitia Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere wakitokea Cotonou, Benin walipokuwa kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu AFCON. Kwenye mchezo huo dhidi ya Niger ulimalizika kwa sare ya kufungana bao 1-1 na kuwafanya Stars kupata pointi moja….

Read More